Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Group F: Canada na belgium bye bye,watabaki morocco na croatia tuone mbabe nani,au nmekosea?
 
Kundi f mpaka sasa belgium waandae kabisa tiketi zao kwenye ndege ya air tanzania,maana hawana uwezo wa kupenya kwenye hili kundi,

Wanapita moroco na croatia.....
Kabisa niko pamoja na ww
 
🇪🇸 Spain XI: Simon; Alba, Laporte, Rodrigo, Carvajal; Busquets, Gavi, Pedri; Torres, Asensio, Olmo.

🇩🇪 Germany XI: Neuer; Kehrer, Süle, Rüdiger, Raum; Kimmich, Goretzka; Gnabry, Gündogan, Musiala; Müller.

#FIFAWorldCup
 
Halafu hawa ndio mabingwa wa Concacaf, Kabara kadogo wanaingiza timu kibao, wapokonywe nafasi moja ije Africa kwenye nchi 52.
Hawa Canada weupe.. Morocco anapita vzr kbs.

Yan Canada wanacheza bila discipline kbs wao wanashambulia tu Yan wao ni vibes tu hakn mikakat.

Kundi ilo Belgium safar yake ha nymbn naiona kbs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…