Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mimi siweziHyo kitu ina addiction zaidi ya pombe na madawa ya kulevya.yaan unaliwa daily ila unajipa matumaini ya kula .Achana nacho mkuu.
Nikicheza buku nikakosa basi sichezi tena.
Siwezi cheza zaidi ya Aftatu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app