Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Duh [emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Canada wanna support ushoga mapema tu washatoka, bado mashost zake USA na England .. hawa hawavuki makundi
Usipoangalia kwa mentality uliyonayo ushoga utakuathiri wewe kuliko wao? haya vipi Qatar aliyekuwa wa kwanza kutoka?vipi Tunisia?
 
Itapendeza Germany amfunge spain leo
Afu Game zinazofuata

Costarica Amfunge Germany
Japan Amfunge spain

Sio mbaya pia
Poland akimfunga Argentina

Nibaki na Adui mmoja France kwenye 16 bora

Maombi ya shabiki wa BRAZIL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipoangalia kwa mentality uliyonayo ushoga utakuathiri wewe kuliko wao? haya vipi Qatar aliyekuwa wa kwanza kutoka?vipi Tunisia?
Sisi tunaangalia yale matimu yanayosupport ugasho. Hao akina qatar na Tunisia ni udhaifu wa timu zao.
 
Poland atamla kichwa ajentina, German leo anaweza iaga safari, burazili atafuzu ila robo faino hatoboi.
 
Spain keshawin tayar,nasubr kwa ham nijue nxt match tunazichapa na costa rica au germany
 
Me mwenyew nataman lakin wakali wa kubet hua hawashaur mtu afanye hvo kama hajaanza. Tangu nmeanza omba ushaur hamna alienikubalia,so nmeacha ubishi wacha nitulie tu.
Yes kaa utulie maana siku zote mshindi ni mhindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…