Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Dada kubet no roho. Ukianza utaona ah ngoja niache nimeliwa...lakin unajikuta unashawishika kujaribu tena. Unabet unakula tena hela ya maana...unasema tena...unakula hela ya maana....heheeee hapo ndo shetan anavuta ndoo anakaa kujifunza. Kila ukitaka kuacha wapi... Addictions ni mbaya jaman
Duh [emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Canada wanna support ushoga mapema tu washatoka, bado mashost zake USA na England .. hawa hawavuki makundi
Usipoangalia kwa mentality uliyonayo ushoga utakuathiri wewe kuliko wao? haya vipi Qatar aliyekuwa wa kwanza kutoka?vipi Tunisia?
 
Itapendeza Germany amfunge spain leo
Afu Game zinazofuata

Costarica Amfunge Germany
Japan Amfunge spain

Sio mbaya pia
Poland akimfunga Argentina

Nibaki na Adui mmoja France kwenye 16 bora

Maombi ya shabiki wa BRAZIL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipoangalia kwa mentality uliyonayo ushoga utakuathiri wewe kuliko wao? haya vipi Qatar aliyekuwa wa kwanza kutoka?vipi Tunisia?
Sisi tunaangalia yale matimu yanayosupport ugasho. Hao akina qatar na Tunisia ni udhaifu wa timu zao.
 
Itapendeza Germany amfunge spain leo
Afu Game zinazofuata

Costarica Amfunge Germany
Japan Amfunge spain

Sio mbaya pia
Poland akimfunga Argentina

Nibaki na Adui mmoja France kwenye 16 bora

Maombi ya shabiki wa BRAZIL

Sent using Jamii Forums mobile app
Poland atamla kichwa ajentina, German leo anaweza iaga safari, burazili atafuzu ila robo faino hatoboi.
 
Spain keshawin tayar,nasubr kwa ham nijue nxt match tunazichapa na costa rica au germany
 
Me mwenyew nataman lakin wakali wa kubet hua hawashaur mtu afanye hvo kama hajaanza. Tangu nmeanza omba ushaur hamna alienikubalia,so nmeacha ubishi wacha nitulie tu.
Yes kaa utulie maana siku zote mshindi ni mhindi
 
Back
Top Bottom