Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Rudiger....anataka kuwapelekea moto watu hapa. Spain wakajipange..wanafika kwenye box and just like that wanalose. Mwisho wagawane point....
Ujerumani dakika hizi za mwisho kipindi hiki cha kwqnza wamechangamka kwa mpira wao ule wa nguvu kidogo spain wamepunguza kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…