Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kama upo hom unaangalia wc. Fanya kama unabadilisha channel na kuweka Azam sport1 mechi ya kmc na T. Prison Yani utahisi unaangalia singeli huku bongo, pira limepooza[emoji3061]

Sasa Rudi Qatar uone vibe lake

Tz au Africa bado sn kimpira.
Babu unafananisha wc na NBC ligi haupo serious kweli
 
ila tbc nahisi kuna mtu kaiba tecno yangu anaitumia kurekodia mpira laivu kwenye tv nyingine kisha wanabandika chata yao na kuturushia laivuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Nikiangalia HD nyingine najiuliza HD ya tbc ya aina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…