Wewe ulitakaje mkuu?ila tbc nahisi kuna mtu kaiba tecno yangu anaitumia kurekodia mpira laivu kwenye tv nyingine kisha wanabandika chata yao na kuturushia laivuππππππ. Nikiangalia HD nyingine najiuliza HD ya tbc ya aina gani
Dakika ya ngapi mkuuAcheni kupoteza muda tumalizie game
Ukiangalia TBC ya kwenye DSTV unaweza ukapasua TV yako ukihisi ni mbovu..ila tbc nahisi kuna mtu kaiba tecno yangu anaitumia kurekodia mpira laivu kwenye tv nyingine kisha wanabandika chata yao na kuturushia laivuππππππ. Nikiangalia HD nyingine najiuliza HD ya tbc ya aina gani
89"Dakika ya ngapi mkuu
Acha tuendelee kubana dadadek, hakuna goli leo ngoma nyongeza dakika 1088'
Mwenye kubana kende abane sawa sawa
Wewe ulitakaje mkuu?
Hapo lazima waongeze dakika 10 na usheeπ
Kwan inaonyesha chenga, huku tunaona fresh tuHD clear
Bado anafanya kosa la kumtoa KUDUSKocha ndani ya dk 13 imefanya sub 6 sijui anatafuta nini
92 baki 8 za nyongezaOy dk ya ngapi huko mnaoangalia kwenye kideo
Kwan inaonyesha chenga, huku tunaona fresh tu