Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Wewe ulitakaje mkuu?ila tbc nahisi kuna mtu kaiba tecno yangu anaitumia kurekodia mpira laivu kwenye tv nyingine kisha wanabandika chata yao na kuturushia laivu😂😂😂😂😂😂. Nikiangalia HD nyingine najiuliza HD ya tbc ya aina gani