Wataliwa na simba wa teranga hao wew subiria
Yupo huko marekani anajulikana sana kwa kutabiri exact scores! Mara ya kwanza kumfuata alibashiri sahihi matokeo ya Japan na Germany ile ya 2-1Duhhh ndio Nani huyo mtu? Ata kama hayo matokeo mengine hayatakuwa sahihi bado haibadirishi ukweli kuwa atakuwa kajitahidi sana kubashiri correct score
Ni atlas kaka.Na moroco ni simba wa altasi
Anaingia na timu yake kama kawaida lakini haruhusiwi kukaa kwenye benchi. Kuna viti maalum kwa dhararu kama hiziSo uwanjani anaingia kwa kulipia kama wengine tu
Anapatikana kwenye platform gani mkuu?Yupo huko marekani anajulikana sana kwa kutabiri exact scores! Mara ya kwanza kumfuata alibashiri sahihi matokeo ya Japan na Germany ile ya 2-1
A.k.a CachavachaUmenifanya nimkumbuke Diego Forlàn.. Yale Mashuti yake ya WC 2010.
Taifa stars ni Simba NdoigeNa moroco ni simba wa altasi
Ndiyo au barbary lion! Kuna masimba watatu wanaowakilisha Africa Morocco Cameroon na Senegal. Wote hao wakiamini ni watoto wa Simba mkuu kutokea Serengeti, ila sio yule Simba wa kariakoo.Na moroco ni simba wa altasi
Alikuwa na balaa huyo...A.k.a Cachavacha
Kuna group telegram la yahoo boys wa Nigeria ndio huwa wanapost sana matokeo yake!Anapatikana kwenye platform gani mkuu?
Wapo hakuna kitu Kama hichoTiby hunter leo amebashiri matokeo sahihi ya cameroon 3-3 akabashiri ghana kushinda 3-2 na ubashiri uliobakia ni Brazil kufungwa 3-2 na ureno kusuluhu 4-4! Yapi maoni yako je itatokea kweli?
Hatari na nusu, la liga kaacha alama zake paleAlikuwa na balaa huyo...
Anaota huyo Brazil tufungwe aache utotoTiby hunter leo amebashiri matokeo sahihi ya cameroon 3-3 akabashiri ghana kushinda 3-2 na ubashiri uliobakia ni Brazil kufungwa 3-2 na ureno kusuluhu 4-4! Yapi maoni yako je itatokea kweli?
[emoji23][emoji23]Dah kwmb msako wa namna iyo mara ya mwsh ilikua manzese sio..soldier alipigwa na kuibiwa simu.Ghana wamecheza kikubwa kiasi, ila kuna makosa kwenye ulinzi sabu ya jordan ayew na kudus haikupaswa kufanyika.
Hawa wala chura wana balaa msako kama huu mara ya mwisho kuuona ni manzese, mwanajeshi anlipigwa na kuibiwa simu. [emoji23] [emoji23]