Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Duhhh ndio Nani huyo mtu? Ata kama hayo matokeo mengine hayatakuwa sahihi bado haibadirishi ukweli kuwa atakuwa kajitahidi sana kubashiri correct score
Yupo huko marekani anajulikana sana kwa kutabiri exact scores! Mara ya kwanza kumfuata alibashiri sahihi matokeo ya Japan na Germany ile ya 2-1
 
Mechi ya Ghana na Uruguay itakuwa sio tu muhimu kwa Ghana kusonga mbele bali muhimu zaidi kulipiza kisasi cha Suarez kudaka goli la wazi michuano ya 2010 na kuinyima Ghana kusonga mbele huku Wauruguay wakifurahia tukio hilo
1669648268504.png

1669648369603.png

Kadaka penalti
1669649271541.png

Gyan kakosa penalti
1669648708878.png

Uruguay wakafurahia
 
Tiby hunter leo amebashiri matokeo sahihi ya cameroon 3-3 akabashiri ghana kushinda 3-2 na ubashiri uliobakia ni Brazil kufungwa 3-2 na ureno kusuluhu 4-4! Yapi maoni yako je itatokea kweli?
Wapo hakuna kitu Kama hicho
 
Ghana wamecheza kikubwa kiasi, ila kuna makosa kwenye ulinzi sabu ya jordan ayew na kudus haikupaswa kufanyika.

Hawa wala chura wana balaa msako kama huu mara ya mwisho kuuona ni manzese, mwanajeshi anlipigwa na kuibiwa simu. [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23]Dah kwmb msako wa namna iyo mara ya mwsh ilikua manzese sio..soldier alipigwa na kuibiwa simu.
 
Back
Top Bottom