Mm Wala sioni shida ya Ronaldo wala messi Ni chuki tu kwa mafanikio yake ndio husda kwa wengi ila mm mreno Yuko Safi Sana nampenda Sana Kama nilivyompendaga Luis Figo enzi hzoCr7 hapendeki ndo shida
[emoji23][emoji23] Nani anioe cocastic dahAnataka muoane asa utakubari kuolewa na mchele?
Cr7 ana ka u superiority flani ivi humu jukwaani naweza mfananisha na GENTAMYCINE maboya sanaMm Wala sioni shida ya Ronaldo wala messi Ni chuki tu kwa mafanikio yake ndio husda kwa wengi ila mm mreno Yuko Safi Sana nampenda Sana Kama nilivyompendaga Luis Figo enzi hzo
Anapata manVip Senegal leo anaweza pata ushindi dhidi ya Ecuador?
Maana anatakiwa kushinda ili kufuzu
Ndo kasema ivyo uyo mpunga[emoji23][emoji23] Nani anioe cocastic dah
Kwani uyo ni mwanaume?Unaanzaje kumwambia mwanaume mwenzako I love u? Au ndio wazee wa upinde mko kazini.
Jamaa wanamchukia utafikiri kawabebesha mimba, mpira unapigwa ila hawaoni matukio ya kujadili tofauti na kujadili maisha binafsi ya Cr7.Haters wa Ronaldo kunyweni panado. Maneno meeengiii kama chiriku mnaboa. Angalieni mpira chuki zenu hazimpunguzii mbio
Wewe ni mke wake, mbona unaokana kumjua sana?[emoji102]Brunooo safi.Ila Ronaldo atakuwa kakasirika sana.
Unafeli[emoji846]Mnanichanganya kumbe Ni mwanamke dooh.
Mtu anamchukia mtu ambaye hawajawahi onana, wala wasiliana.Wewe ni mke wake, mbona unaokana kumjua sana?[emoji102]
Sisi Portugal tunaenda mdogomdogo tu kama hatupo vile.
Kuna mdau humu aliuliza Cameroom wamefikaje world cup. Leo namuelewa lile swali alimaanisha nini. Bora hata Tunisia alikua anajituma....
Wabongo ni watu wa ajabu sana.Mtu anamchukia mtu ambaye hawajawahi onana, wala wasiliana.
Ghana sio wabaya, ila kuliko Cameroon ni bora angepita AlgeriaBora wangetuwakilisha Egypt na Algeria, na sio cameroon na tunisia, hata huyo ghana hamna kitu, hapo amekutana na kibonde akampiga 2 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa wanamchukia utafikiri kawabebesha mimba, mpira unapigwa ila hawaoni matukio ya kujadili tofauti na kujadili maisha binafsi ya Cr7.
Ndohivyo anazidi kupepea tu.
Sema wewe maana nikisema mimi naitwa haterYule Joe Depox waliachana baada ya Joe kuwa na Jeff, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila zile picha za CR7 ni mbayaa, sema hakuandamwaaa sanaa, huwa najiulizaga mbna haaandamwi hata hivyo wengi washa sahau.
Utasikia wengine mbna kaoa na ana watoto, utadhan wameambiwa shoga hawezi oa au kuzalisha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣Ka wewe hapo kanakotoa machozi umejiona[emoji16]