Basi peace n loveAmna sina temper namzinguaga tu uyo jamaa
Usiandike kausha kuna mtu per day haingizi ata 5000 so lazima akuchukie tuMfano mi nabet, nikaandika nimeingiza 98,000 kuna mtu kanitusi, wakati sijamfatilia wala kumjibu
Atategemea Mechi ya Korea na Portugal
Emoji zako tu zinaonesha kuwa wewe ndo hakuna kila kituKumekuchaaaa humu ndaniiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongo wengi kumbe uelewa wao ni finyiuu mnooo. Nacheka km mazuriiiiii. Lol.
Amuweke benchi nani?Kwan fabinho wa Liverpool anacheza Brazil ipi
Ureno asifungweAtategemea Mechi ya Korea na Portugal
NaogopaaaaaYesyour rich tubet leo mwanangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] limekugusaaa tayariiiii, poleeeeeeeh.Emoji zako tu zinaonesha kuwa wewe ndo hakuna kila kitu
1.MoroccoKuna timu mbili za Afrika zitaingia robo fainali
Usiongope una chukulia kama game tuNaogopaaaaa
Senegal pia leo anafuzu1.Morocco
2.Ghana
Cameroon huyu nayemjua akawafunge Wale masharobaro wapenda sifaMechi ya brazil na cameroon, nawaombea cameroon ushindi
Unachekea nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] limekugusaaa tayariiiii, poleeeeeeeh.
usikute mtu alimaindi kisa kuambiwa Ronaldo pungaAisee Afrika bado tuna safari ndefu. Kuna washkaji wawili tumetoka kuwatoa sero muda huu waliwekwa jana usiku kisa ugomvi wa Ureno na Uruguay.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee Afrika bado tuna safari ndefu. Kuna washkaji wawili tumetoka kuwatoa sero muda huu waliwekwa jana usiku kisa ugomvi wa Ureno na Uruguay.