Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wajirekebishe, hatua inayofuata inahitaji umakini zaidi, aio kukosa kosa magoli ya wazi hovyo hovyo.
Hcho ndo nachohofia wanakosa sana clear chances wanapata lkn wanakosa.. Hatua za mtoano hkn game nyngne umepigwa umetoka.

Senegal akiwa Serious kwny nafas zake wanazopata wakikutana na England wanaweza mpa wkt mgum.
 

Ni huyu ndio alifunga Goli la Kwanza la Senegal kwenye World Cup; Na alikufa siku kama ya leo mwaka jana What a Way to Remember Him

RIP Papa Bouba Diop hio siku ulinifanya nijivunie kuwa Mu- Africa
France 0 - Senegal 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…