Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Indeed [emoji28][emoji28]Qatar bwana. Useless host [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naam nilikuwa ughaibuni siku hio na Jersey yangu ya Senegal naingia kupiga box jioni yaani hadi mwendo wangu ulikuwa wa ku-bounce na smile kubwaa kwa kweli siku yangu ilikuwa murua kabisa na iliendelea kuwa hivyo mpaka Uturuki wakatufunga moja bila (nadhani ilikuwa golden goal)Do you mean kuwa MuAfrika
it is over now say somethingIts Never Over until its Over....
Nitakwambia when its Over.... (nipe zaidi ya dakika 45)
Na ecuador je watakutana na nani au ndo imeisha hyo?Kama tunakutana na England basi Senegal tuko robo
Boss wa Nani wapi ?Akikutana na england..senegal nje..we unaweza kumfunga boss wako..utakula wapi
Ndo ashatoka?Ecuador analia hatari....
Wakirekebisha, hata huyo England ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ hachomoki.Hcho ndo nachohofia wanakosa sana clear chances wanapata lkn wanakosa.. Hatua za mtoano hkn game nyngne umepigwa umetoka.
Senegal akiwa Serious kwny nafas zake wanazopata wakikutana na England wanaweza mpa wkt mgum.
There is a high probability wales wakachapikaKwani England yeye keshafuzu??
Yaniii ni haki yao Kwakweli walikua wamekata tamaaa sana.. Mimi dakika za Mwisho especially wakati mpira unachezea maeneo ya goli la Senegal nilichizika presha juuuuu Salute kwaooo ๐๐๐Dakar leo hakulaliki huko
Hapana ndo ameingiaNdo ashatoka?
Naam now its over !!! ๐, Uchelewi kudhani mpira umekwisha kumbe ulikuwa unaota, nilikuwa bado ninahakikisha....it is over now say something
So wales akimchapa england anakutana na senegal?Bado hajafuzu,anahitaji draw tu ili apite.
Same here ila ndo hivo we deserved to win this game[emoji3]Yaniii ni uaki yao Kwakweli walikua wamekata tamaaa sana.. Mimi dakika za Mwisho especially wakati mpira unachezea maeneo ya goli la Senegal nilichizika presha juuuuunSalute kwaooo [emoji119][emoji119][emoji119]
Poker Tinsley Poor Brain dakika za mwisho nusura nichizikee Hurrrrrrrrayyyyyy Senegal Hurrraaay Africaโค๏ธโค๏ธโค๏ธ๐๐๐