Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Do you mean kuwa MuAfrika
Naam nilikuwa ughaibuni siku hio na Jersey yangu ya Senegal naingia kupiga box jioni yaani hadi mwendo wangu ulikuwa wa ku-bounce na smile kubwaa kwa kweli siku yangu ilikuwa murua kabisa na iliendelea kuwa hivyo mpaka Uturuki wakatufunga moja bila (nadhani ilikuwa golden goal)
 
Akikutana na england..senegal nje..we unaweza kumfunga boss wako..utakula wapi
Boss wa Nani wapi ?

Walimfunga Mfaransa ambae ndio kama aliwalea na karibia wote kina Al Hadj Diof walipitia kwenye academy za Ufaransa...., Anyway inategemea wakicheza kwa kujiamini England hatishi ila wakiingia kwa kupaki basi, mechi ijayo waende na mabegi yao wameshapaki...
 
Yaniii ni uaki yao Kwakweli walikua wamekata tamaaa sana.. Mimi dakika za Mwisho especially wakati mpira unachezea maeneo ya goli la Senegal nilichizika presha juuuuunSalute kwaooo [emoji119][emoji119][emoji119]
Same here ila ndo hivo we deserved to win this game[emoji3]
 
Back
Top Bottom