Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022


Wataalamu naomba mtueleze tusiojua mpira. England anacheza na wales. Kwa mfano wales akimfunga england...eng atabaki na point 4...wales atakuwa na 4 pia. Sasa ikitokea mechi imeisha yani imefika full time na wote wana 4 points... nani atatoka???
 
Scenario Inatakiwa walau Wales ashinde kwa goal 4 bila majib kwa England ili aweze kupita vinginevyo England kapita.
 
Goal difference ( GD ) ndo itaamua ..
England ana GD 4 na Wales ana -2 .. ili wales apite inatakiwa amfunge england kwa tofauti ya 4+ goals
 
Jaman si wales washinde ili wakutane na senegal tuwaburuze au[emoji848]
Una mawazo mazuri. Ila hayawekezekani. Mtakutana na sisi tutawakandamiza.

Mie sinaga unafki wa kusema huyu Mwafrika. Senegal ombeni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…