Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Nafurahia ushindi wa Senegal nikiwa mbalali mbeya karibu na uwanja wa IHEFU [emoji91][emoji91][emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na pia kamtoa kuwania nafasi ya world cupWabongo kwenye Ubora wao, mtu kawapa Afcon mbele ya Egpty, kafuzu World cup na kawavusha 16 bora wanasema sio kocha mzuri
Scenario Inatakiwa walau Wales ashinde kwa goal 4 bila majib kwa England ili aweze kupita vinginevyo England kapita.View attachment 2431035
Wataalamu naomba mtueleze tusiojua mpira. England anacheza na wales. Kwa mfano wales akimfunga england...eng atabaki na point 4...wales atakuwa na 4 pia. Sasa ikitokea mechi imeisha yani imefika full time na wote wana 4 points... nani atatoka???
NtakupasuaTeam Wales
Goal difference ( GD ) ndo itaamua ..View attachment 2431035
Wataalamu naomba mtueleze tusiojua mpira. England anacheza na wales. Kwa mfano wales akimfunga england...eng atabaki na point 4...wales atakuwa na 4 pia. Sasa ikitokea mechi imeisha yani imefika full time na wote wana 4 points... nani atatoka???
Kuna wale walioandamana na kuharibu haribu huko kwao baada ya kufungwa na Cameroon Sijui ni Morroco ile jana vipi hali yao ipoje?? Wameingia 16 bora au bado kumalizia makundi???Same here ila ndo hivo we deserved to win this game[emoji3]
Sijakupata hapo Senegal kukutana na FranceKwa Senegal nimeona upande huo kama England ataongoza leo watakutana.. Hlf ikatokea Senegal kapita bas robo final atakutana na France.
Hapana , akimfunga 4-0 tu inatoshaKwa goli 7-0
GD ndogo atatolewaView attachment 2431035
Wataalamu naomba mtueleze tusiojua mpira. England anacheza na wales. Kwa mfano wales akimfunga england...eng atabaki na point 4...wales atakuwa na 4 pia. Sasa ikitokea mechi imeisha yani imefika full time na wote wana 4 points... nani atatoka???
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jamani inasemekana ukidharaulika ndio unashinda. Nadharau timu zote za Afrika...hazitafika robo fainali.
Nashukuru huu Ugonjwa wa kumtajirisha Bookmaker Sina..., Yaani ukishinda wewe hesabu umepewa Mkopo utarudisha na Riba....au ulibet?
SawaHapana , akimfunga 4-0 tu inatosha
Leo England akishinda ataongoza kundi maana yake atakutana na Senegal..ikatokea ss Senegal kamtoa England na France akapita Wanaweza kutana Quarter Final.Sijakupata hapo Senegal kukutana na France
Hao nlitaman wachapwe zaid[emoji2088][emoji2088][emoji2088],nmefurahi wamechapika[emoji1787]Ili ujue kufungwa kunauma wazoom Yanga leo
Jaman si wales washinde ili wakutane na senegal tuwaburuze au[emoji848]Ntakupasua
Bas imeisha hyooo England atazichapa na senegal,Wales bye byeGoal difference ( GD ) ndo itaamua ..
England ana GD 4 na Wales ana -2 .. ili wales apite inatakiwa amfunge england kwa tofauti ya 4+ goals
Safi sana , angalau tuna timu za kushabikia,Senegal
Ghana
Morocco
Zote wanafuzu kwenda round of 16.
Nimependa mashabiki timu za Afrika ya Kaskazini wanatoa sapoti kwa timu zingine za Afrika. What a love!
Una mawazo mazuri. Ila hayawekezekani. Mtakutana na sisi tutawakandamiza.Jaman si wales washinde ili wakutane na senegal tuwaburuze au[emoji848]
Nimerejea mkuu...nakuta Senegal wametuinuaSiku 4 😒
Kila la kheriii mkuu
Tutamiss uwepo..
Malaika zako wakutangulie ❣️, uwe na wakati mwema hukoo