Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Dakika za nyongeza

Iran Vs USA +5

Wales Vs England +5
 
Ivi mechi za mwisho ndo zakuamua nani afuzu nani asifuzu so zikichezwa mda tofauti kutakuwa na upangaji wa matokeo uamzi sahihi kila kundi ni kupewa mda mmoja siokusubiriana
.wakicheza mda tofauti yatatokea ma ufisadi
Kumbeeee,nkafkr wao wamenyooka hawanaga mbambamba kumbe hata huko bahasha zinatembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…