Usipoteze muda na huyo ,huyo ameshindikanaWe choko unajileta sio?
Kama umeanza kuangalia mpira zamani ndiyo utafahamu kuwa USA ya sasa ni ya moto sana. Usishangae England kusare na US.Labda kama umeanza angalia mpira juzi
Mbarali wanasemaje au bado hujarudi?Nilikuwa sielewi.
Kumbe kila kundi wamecheza mechi 4
Mechi zitakazofuata ni za makundi.
Kundi A&B
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Lakini amekosa nafasi pia za wazi hilo nalo ulikumbuke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nijiletee kwako wee msago? Unataka tukoboaneee au? Mxxxxoeeeeeewwwww.We choko unajileta sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa had machoziii, umeshindikana wee mxxcieeeeewwww!!!Usipoteze muda na huyo ,huyo ameshindikana
Unaongea ujinga mkuu bora unyamaze kama unaiamini marekani embu ipe ata gana au morroco uone itachofanywaKama umeanza kuangalia mpira zamani ndiyo utafahamu kuwa USA ya sasa ni ya moto sana. Usishangae England kusare na US.
Afu we si Uto wewe?Siyo mpira mkali kama Azam dhidi ya Makolokolo [emoji848][emoji87]
We kama huipendi US sema lakini hii US inaupiga mwingi sana. Kama ile ya dada zao tu.Unaongea ujinga mkuu bora unyamaze kama unaiamini marekani embu ipe ata gana au morroco uone itachofanywa
KweliLakini amekosa nafasi pia za wazi hilo nalo ulikumbuke
Unapo relate na dada zao ndo naoana unakosa mantinki kabisaWe kama huipendi US sema lakini hii US inaupiga mwingi sana. Kama ile ya dada zao tu.
Nasubiri kurudi na IhefuMbarali wanasemaje au bado hujarudi?
Karibu tenaNimerejea
Daah goli la dhahabu, hii sheria ilikua inauzi sn. Bora hata fifa waliifuta aiseeRobo mkuu sio round of 16, na hio Robo yenyewe walikaza sana wakatolewa kwa goli la dhahabu na Mansiz
Hapana jamani 🤣Shemeji anakuchosha sana we Manzi, mwambie aendelee kukutendea haki viyvyo hivyo [emoji106][emoji38]
Hadi wanaume mnasinziaga 🤣🤣Usingizi dah
Sasa tusisinzie tumekuwwa maroboti ama!? 😂 😂Hadi wanaume mnasinziaga 🤣🤣