Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Siyo mpira mkali kama Azam dhidi ya Makolokolo [emoji848][emoji87]
Afu we si Uto wewe?

Hivi we ni wakuongea hivyo?

Au unajisahaulisha kimakusudi kujifanya hujui kinachoendelea?

Wenzako kwenye ule uzi wamekimbia wamekuja huku kutafuta faraja, sasa usinifanye nianze kuitaja Ihefu niwatoneshe vidonda wenzako wasio husika
 
Back
Top Bottom