Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Unatag kama kawaida.Subiri kwanza tumalize somo π€£π€£π€£
dada Fernandes microphone
Onetest
Alkuwa anaangalizia kwa basha akeBoss mbona wewe leo ni tope, kutifuana na upinde tuu, wenzako nini? ongea football kidogo
Niko makiniiMwanafunzi genius. Bravoooo
Dua la kuku..Nafas[emoji1211] alizokosa 1st half atajuta akiwa kwny ndege kwend nymbn.
Wewe ulikuwa genius darasani.dada Fernandes microphone
Onetest
Team Argentina nimekulipaWatu weuweee mastaaaaa FUtiboli
ππππ nimetoboaaaa π₯Unatag kama kawaida.
Halafu ukishatag ukipost,unarudi kuedit.
Kwenye kuedit unaedit pale kwenye jina,unapachika maneno unavyotaka.
Mfano Numbisa.
Nilivyopost nikarudi Tena kuedit
Hapo nipo nafuta jina lake tu then natandika ninayotaka.
Mwanafunzi mastaaa π€£π€£π€£π₯Team Argentina nimekulipa
π€£π€£π€£π€£ mbona Trab na TratTrab na Trat njoo hapa
Kazi tunayoπππππTrab na Trat njoo hapa
Tutakaoteseka ni sisi akina Sunche na Kapentoππππ nimetoboaaaa π₯
Nianze kusumbua watu sasa
π€£π€£π€£π€£Tutakaoteseka ni sisi akina Sunche na Kapento
manyanyasoπππππππmna vituko humu
Ghana anao uwezo wa kumtoa Brazil...kwa sasa Ghana ndio best team in Africa beleive thatHakika watakutana na Brazil.