🤣🤣🤣🤣si mlisema watafunga au sio nyie??Mbona dakika ndefu hawa sekunde 20 tuu
Wana uhakika na nafasi ya pili.Badala wangeshambulia wakashinda wakutane na Australia rahisi wangefika robo.Mitimu yote uliyoingia last match needing a draw inapigwa kwa sababu ya negative mindset.
Jamani huyo kcha fukuza kabisa mie ningekuwa zielinski ningemtukana kocha. Wee mie napoli nacheza loli hapa unaniambia nikabe dakika zote tisini...upuuzi huu
Hahaha mkuu kwani wewe unawapenda wareno na wabrazilHawa usiangaike nao watu wa cr7 na wa Brazil ndo maadui ze2 wakubwa wanatuombea njaa kila mda wanapiga dua za kuku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kale ka Messi ndyo sikapendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]endelea kuichukia. Walikufanyajeeee??
Wapi nilisema mie jamani🤣🤣🤣🤣si mlisema watafunga au sio nyie??
Mpolishi anapita kwenda kumpa assist mfaransa aende robo fainaliKwaiyo anapita poland ama mexico???
England ni HAPANA, kwa mpira upi hasa hadi apewe kipaumbele cha kubeba ubingwa?Ajentina uingereza na brazil ndio anapewa nafasi ya ubingwa msimu huu
Ngoja tuone kama yaliyomo yamo
Mashabiki lazima wavimbe wakiona wanashinda
Let them enjoy while it lasts
🤣🤣🤣Hahah hakika watakua wanaomba sisi tunaendelea kusonga mbele.
Vamonosssssssss [emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Mexico akipata goli la tatu Poland anafungasha virago, Poland akipewa yellow cards nane(moja zaidi ya Mexico) anafungasha viragoKwaiyo anapita poland ama mexico???
Nialike Tuje Kutizama Wote, Team FranceNa bado[emoji23]
[emoji16] dah sawa mzeeMatusi siyo tiba, uwe na adabu we dogo wa miaka ya 80 kwa mimi Baba yako wa miaka ya 1970.
PUMBAVU.
Wamekutana mipolana mijinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani Argentina akitoka akapigwa 3 kavu nitafanya sherehe
Wao naona wanataka tuu milli 4 extra za kuingia last 16Wana uhakika na nafasi ya pili.Badala wangeshambulia wakashinda wakutane na Australia rahisi wangefika robo.
Nlijua tuuu lazima kalikukomesha mahali wewee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kale ka Messi ndyo sikapendi