Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mitimu yote uliyoingia last match needing a draw inapigwa kwa sababu ya negative mindset.
Jamani huyo kcha fukuza kabisa mie ningekuwa zielinski ningemtukana kocha. Wee mie napoli nacheza loli hapa unaniambia nikabe dakika zote tisini...upuuzi huu
Wana uhakika na nafasi ya pili.Badala wangeshambulia wakashinda wakutane na Australia rahisi wangefika robo.
 
Ajentina uingereza na brazil ndio anapewa nafasi ya ubingwa msimu huu

Ngoja tuone kama yaliyomo yamo

Mashabiki lazima wavimbe wakiona wanashinda

Let them enjoy while it lasts
England ni HAPANA, kwa mpira upi hasa hadi apewe kipaumbele cha kubeba ubingwa?

Nitakuwa wa mwisho kuamini hivyo.
 
Back
Top Bottom