Kweli world cup haina mwenyewe...mi natembea na mafuta ya mwamposa kesho nampaka kila mchezaj wa MoroccoYaani unaweza shangaa kesho Belgium akapita Moroco akaaga. Ila kesho Belgium vs Croatia itakuwa moto.
Belgium ya sasa ilishakuwa mdebwedo. Lile li batshwayi linapaka rangi vidole polka dots 🤣🤣🤣🤣 tayari hamna timu hapoYaani unaweza shangaa kesho Belgium akapita Moroco akaaga. Ila kesho Belgium vs Croatia itakuwa moto.
Belgium ya sasa ilishakuwa mdebwedo. Lile li batshwayi linapaka rangi vidole polka dots 🤣🤣🤣🤣 tayari hamna timu hapoYaani unaweza shangaa kesho Belgium akapita Moroco akaaga. Ila kesho Belgium vs Croatia itakuwa moto.
Leo Argentina lazima atamfunga Poland japo najua Poland hawatakubali kirahisi kupoteza hii golden chance waliokwisha pata ya kusonga mbele
Waarabu nao nawaona wakidroo na Mexico so kuna uwezekano Poland wakasonga mbele kwa advantage ya GD nzuri japo lolote laweza kutokea
Group D hakuna mabadiliko, naona France na Australia wakisonga mbele kwa nafasi walizo nazo sasa
Roud of 16
- France vs Poland
- Argentina vs Australia
Hapa ndio wanapokosea... hatukatai Messi alikua bonge la player wakati mpira ulipokua unamti, hata CR7 alikua fundi sana na hapo ana goli zaidi ya MIA SABA wampe heshima yake..Tatizo washabiki wa ajentina kila mtu asiye shabiki wao wanamuona ni ureno
Wakati ureno wenyewe hata round of 16 hawavuki
Kuhusu swala la penalty
Hawajaona leo messi alivokimbilia penalty ya mchongo na kuikosa?
Wanaupiga mwingi mkuu (rekodi yao ni semi final wc2018, fainali euro2020)England ni HAPANA, kwa mpira upi hasa hadi apewe kipaumbele cha kubeba ubingwa?
Nitakuwa wa mwisho kuamini hivyo.
Hivi yule Batshway ni upinde wa mvua yule.Mwanaume gani anachonga kucha vile na kupaka rangi?Belgium ya sasa ilishakuwa mdebwedo. Lile li batshwayi linapaka rangi vidole polka dots 🤣🤣🤣🤣 tayari hamna timu hapo
Afu kweli niliona. Nilibak natumbua macho. Kuna siku sijui ni timu gani ile...mchezaji katolewa mwenzake akaenda kumkumbatia kwa nyuma kama mwanamke akimhug mwanaume wake from behind. Nikasema aisee tutajionea meng kwakwelBelgium ya sasa ilishakuwa mdebwedo. Lile li batshwayi linapaka rangi vidole polka dots 🤣🤣🤣🤣 tayari hamna timu hapo
Messi mm nampenda mno kuliko mchezaji ninae muelewa sanaFrom zero to hero
Saudia ile ilikuwa bahati tu ila sio kwamba arg ni wabovu kama mnavyotaka kuaminisha watu...
Nyie hamumpendi Messi kuweni wakweli tu
Kwahyo france aepukiki sio apo france anapita na argentinaKama nilivyotabiri 99%
Argentina top of the group na Poland
Sasa ni rasmi
- France vs Poland
- Argentina vs Australia
Ndio ukweli huo mkuuArgentina Vs Australia
Kuna watu wanatamani waseme tunakutana na timu mchekea
Mimi naomba utabiri final. Nipe majibu now,then ukipatia tarehe 18 itabidi ukachukue mikoba ya shehe Yahya.Kama nilivyotabiri 99%
Argentina top of the group na Poland
Sasa ni rasmi
- France vs Poland
- Argentina vs Australia
Kumbe na wee umemuona 🤣🤣🤣🤣 hii timu mdebwedo kabisa. Hazard anaitwaje kwenye timu wakati madrid hachezi.Hivi yule Batshway ni upinde wa mvua yule.Mwanaume gani anachonga kucha vile na kupaka rangi?
Umeongea kwa uchungu sanaNdio ukweli huo mkuu
Maana hio mechi itakua kama hii ya poland
Jamaa watabana wee kipind cha kwanza..
Kipind cha pili wataachia
Mtapita kiulainiii
Argentina akifika fainali najipiga Ban Jf kwa mwezi mmoja..Argentina Vs Australia
Kuna watu wanatamani waseme tunakutana na timu mchekea