Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

20ADF6C6-8A68-4659-822A-013B7C72ED7A.jpeg
 
Leo Argentina lazima atamfunga Poland japo najua Poland hawatakubali kirahisi kupoteza hii golden chance waliokwisha pata ya kusonga mbele
Waarabu nao nawaona wakidroo na Mexico so kuna uwezekano Poland wakasonga mbele kwa advantage ya GD nzuri japo lolote laweza kutokea
Group D hakuna mabadiliko, naona France na Australia wakisonga mbele kwa nafasi walizo nazo sasa
Roud of 16
  • France vs Poland
  • Argentina vs Australia

Kama nilivyotabiri 99%
Argentina top of the group na Poland
Sasa ni rasmi
  • France vs Poland
  • Argentina vs Australia
 
Tatizo washabiki wa ajentina kila mtu asiye shabiki wao wanamuona ni ureno

Wakati ureno wenyewe hata round of 16 hawavuki

Kuhusu swala la penalty

Hawajaona leo messi alivokimbilia penalty ya mchongo na kuikosa?
Hapa ndio wanapokosea... hatukatai Messi alikua bonge la player wakati mpira ulipokua unamti, hata CR7 alikua fundi sana na hapo ana goli zaidi ya MIA SABA wampe heshima yake..
 
England ni HAPANA, kwa mpira upi hasa hadi apewe kipaumbele cha kubeba ubingwa?

Nitakuwa wa mwisho kuamini hivyo.
Wanaupiga mwingi mkuu (rekodi yao ni semi final wc2018, fainali euro2020)

Sio wa mchezo mchezo

Mimi sio shabiki wao

Ila wana uwezo mkubwa wa kucheza na timu hizo kubwa na kuoata matokeo

Ila tuone mechi yake na Senegal tutajua zaidi
 
Belgium ya sasa ilishakuwa mdebwedo. Lile li batshwayi linapaka rangi vidole polka dots 🤣🤣🤣🤣 tayari hamna timu hapo
Afu kweli niliona. Nilibak natumbua macho. Kuna siku sijui ni timu gani ile...mchezaji katolewa mwenzake akaenda kumkumbatia kwa nyuma kama mwanamke akimhug mwanaume wake from behind. Nikasema aisee tutajionea meng kwakwel
 
Kama nilivyotabiri 99%
Argentina top of the group na Poland
Sasa ni rasmi
  • France vs Poland
  • Argentina vs Australia
Mimi naomba utabiri final. Nipe majibu now,then ukipatia tarehe 18 itabidi ukachukue mikoba ya shehe Yahya.
 
Hivi yule Batshway ni upinde wa mvua yule.Mwanaume gani anachonga kucha vile na kupaka rangi?
Kumbe na wee umemuona 🤣🤣🤣🤣 hii timu mdebwedo kabisa. Hazard anaitwaje kwenye timu wakati madrid hachezi.
Yale yale ya kim kumuacha mpole bench na kuanza na msuva ambaye hana timu. Makocha nao wanazingua kweli
 
Back
Top Bottom