Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #12,861
Na anavaa kitambaa...Kumbe na wee umemuona π€£π€£π€£π€£ hii timu mdebwedo kabisa. Hazard anaitwaje kwenye timu wakati madrid hachezi.
Yale yale ya kim kumuacha mpole bench na kuanza na msuva ambaye hana timu. Makocha nao wanazingua kweli
Argentina akifika fainali najipiga Ban Jf kwa mwezi mmoja..
Hizo timu za kwanza zitapita bila kipingamizi
Tubet, mikoba ya mzee Yahya ya niniMimi naomba utabiri final. Nipe majibu now,then ukipatia tarehe 18 itabidi ukachukue mikoba ya shehe Yahya.
Sawa mkuuArgentina akifika fainali najipiga Ban Jf kwa mwezi mmoja..
Mimi huwa sibet.Tubet, mikoba ya mzee Yahya ya nini
Hivi Saudi Arabia waliwatunguaje Argentina? mbona ni timu dhaifu mno hata kuliko Qatar
Umeongea kwa uchungu sana
Hahaha sema kwl hata mm nawaombea njaa Ureno na Brazil ndo mpr kwl hakuna m2 anampenda mwenzake tunaombeana njaa kwl kwl.Hahaha mkuu kwani wewe unawapenda wareno na wabrazil
Ndo ushabiki huo mkuu wa kaz
Mkuu unataka kusema hizi statistics hazina mchango ππΏππΏππΏππΏMiaka ambayo Argentina alibeba ndoo...hali hii ilitokeaView attachment 2432024
Kama wakikutana basi Argentina lazima apewe mkono wa kwaheriArgentina vs France mtoano, patamu hapo.
Unampenda km nanii?Messi mm nampenda mno kuliko mchezaji ninae muelewa sana