ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Babu lazima ang'oke na kombe huyuA true leader [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 2432147
Yaani ninahisi kama kuna team inaniudhi basi ni Saudi Arabia. Ma ma e.
WAMELINGANA KILA KITU HAPA..LAKINI POLAND ANAPITA KWA KUWA NA FAIR PLAY NZURI ZAIDI YA MEXICO.View attachment 2432001
Mexico wazur Sana Ni huzuni kuwaona wakiishia hapa
Sema Poland walikuja wc na mkwara mkubwa sana. Eti ndege yao ikasindikizwa na F-16 mbili
Mpolishi anapita kwenda kumpa assist mfaransa aende robo fainali
At 35y & 159d old, Lionel Messi (7 shots & 5 chances created) is the oldest player to attempt 5+ shots and create 5+ chances in a World Cup game since 1966.
Uongo mtupuZa ndaaaani! Ile game ya kwanza bookies waliinunua kwa million dollars za kutosha, kabla hata ya game kuna mshkaji wangu aliniambia yupo huko abroad.
Na tena nikaja kuona tena dark web kuwa bookies walishafanya yao.
Mara ya tatu, kuna uzi fulani humu JF kuna mtu tena alitoa tahadhari watu wasimpe direct win Argentina.
Nilipata ukakasi na sikuamini kabisa, nikasema nijaribu ngoja nimpe Saudia ushindi na alikuwa na odds za kutosha mnoo.
Najuta niliweka pesa kidogo[emoji16][emoji16][emoji16]
Niliamini ile habari after game, bookies wameharibu sana football nowdays.
Kwa akili ya kawaida ni ngumu sana mtu kuamini.
Asa saudi wamefunga ili[emoji23]
Ni kweli hii michezo ipo hata jana France wamechezea watu akiliZa ndaaaani! Ile game ya kwanza bookies waliinunua kwa million dollars za kutosha, kabla hata ya game kuna mshkaji wangu aliniambia yupo huko abroad.
Na tena nikaja kuona tena dark web kuwa bookies walishafanya yao.
Mara ya tatu, kuna uzi fulani humu JF kuna mtu tena alitoa tahadhari watu wasimpe direct win Argentina.
Nilipata ukakasi na sikuamini kabisa, nikasema nijaribu ngoja nimpe Saudia ushindi na alikuwa na odds za kutosha mnoo.
Najuta niliweka pesa kidogo[emoji16][emoji16][emoji16]
Niliamini ile habari after game, bookies wameharibu sana football nowdays.
Kwa akili ya kawaida ni ngumu sana mtu kuamini.
Haya mambo yapo juu ya uwezo wako kubali ufundishweUongo mtupu
Shangaa na ww😅Kwahiyo ulitegemea kina al Habib wafuzu mtoano[emoji16]
Bongo hua tunaiga staili za nywele na majina tuHili goli la Alvarez hawa wachezaji wetu wa bongo wachukue notes apa
Huu mkunjo unapunguza centre of gravity na kufanya mpira uende mbele vizuri na usipae juu
Wakifanya hivi tutapunguza kupaisha mipira
Kudos ajentina
View attachment 2432021
View attachment 2432022
Hivi zile Rolls Royce kweli walipewa, mbona kama warabu watakuwa vichaa sana wa matumizi. Unatoaje mzigo kama huo kizembe namna ileNilitamani washinde,wakajizolee private jet
Hizi takwimu zinambeba Mess kuliko CR7 maana yeye ana game 38 zaidi
Messi anampenda sana huyu dogo naona hata pasi nyingi alikuwa anamuwekea huyu
Wait what?Unaeza niambia kwa nini jana kaanza Alvarez baada ya lautaro au enzo fernandez pale kati? Vipi kuhusu subs zake,zinamlipa? Scaloni ni tactician mzuri tu!.Kama unawafatilia Argentina huyo martinez hakuwa starter kwenye CB pairing ya Argentina.Martinez hata asipo anza still Argentina defensively wapo compact sana.Kocha wa Agentina sio mzuri kwenye kuchagua kikosi