Ndiyo hivyo,hii habari ilivuja tokea longtime,hata waandishi walimuuliza Enrique.Spain leo hii ndo wakuwaogopa Argentina na Brazil??
Mi nakwambia jf kuna wafanya tathmini za mpira za ajabu sanaSpain leo hii ndo wakuwaogopa Argentina na Brazil??
Morroco inawagonga hawaSpain wanafanya makusudi, wamemuonesha Enrique anawaambia wachezaji matokeo ya Ujerumani.
Wanamkwepa Croatia.
Wazeee wa harakatiBye Germany [emoji2380],
World Cup unakwepa nini na ili iweje?sababu huwezi beba world Cup bila kupita kwenye tunuri la moto wewe kubali Spain [emoji633] ni timu ya kawaida imagine Costa Rica angeshinda leo Spain si angetoka?Too sad,Germany kashinda sababu ya wa Spain.Kweli akili mkichwa. Any way Spain mahesabu yao yamekwenda vizuri.Wamekwepa upande wa Brazil na Argentina.
Hata Kama ni wewe Argentina, Brazil na moroco Nani kibonde .....spain kafuata plan zake ....Spain leo hii ndo wakuwaogopa Argentina na Brazil??
Wacha wakafanye upunga wao vizuri huko... yaani mpira wa miguu wautie ujinga wao aah na mashoga wote watapigika tuuGermany waandae ndege iwapeleke hrk Munich.
Mzigo umekuwa wa MotoMaisha ya mkamaria muda mwingi ni ya wasiwasi