Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

As it stand hawamoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_0775.jpg
 
Too sad,Germany kashinda sababu ya wa Spain.Kweli akili mkichwa. Any way Spain mahesabu yao yamekwenda vizuri.Wamekwepa upande wa Brazil na Argentina.
World Cup unakwepa nini na ili iweje?sababu huwezi beba world Cup bila kupita kwenye tunuri la moto wewe kubali Spain [emoji633] ni timu ya kawaida imagine Costa Rica angeshinda leo Spain si angetoka?
 
Back
Top Bottom