Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wakati ule spain walikuwa wanashambulia na Japan walikuwa wanaokoa, ila dakika za mwisho spain walikiwa wanapiga piga tu pasi za pembeni.
mkuu labda kama ndio game yako ya kwanza kwa spain unaangalia,...
wale ni typical barcelona, hawanaGa plan B........
Japan waliziba njia za kupitisha mpira, spain wakawa hawaoni pa kupita ndio wanaanza kupiga mapasi kuwavuta.....
 
Netherlands, Argentina, Japan, Senegal, France, Morocco hawa ndio nawaona wakienda robo fainali ila hao wengine wapo overhyped hawana ubora mzuri hasa hasa ktk finishing wakiongozwa na Spain.

Spain na England wamedandia mitumbwi ya vibwengo. Hasa hasa Spain wanakwenda kucheza na timu imara sana ktk michuano hii. Japan kalamba dume kucheza na Croatia, nawaonea huruma sana Spain kuangukia mikononi mwa timu bora ya hii michuano so far.
 
mkuu labda kama ndio game yako ya kwanza kwa spain unaangalia,...
wale ni typical barcelona, hawanaGa plan B........
Japan waliziba njia za kupitisha mpira, spain wakawa hawaoni pa kupita ndio wanaanza kupiga mapasi kuwavuta.....
Ni kweli mkuu wait nitafute video nikuoneshe nilichokiona mimi
 
This ball was out out even Steve wonder could see that.
 
Drama in the WC.

What a group!!! Spain aliyeshinda goli 7 kwa nunge, leo hii amepita kwa tofauti ya magoli.

Dk ya 71, Spain na Germany zilikuwa out.

Germany bila kujua akajitia kiherehere kushinda huku akimtegemea Spain kudroo[emoji3][emoji3][emoji3]

Si kajua hajui, Spain karelax kalinda lose yake huku akiwa na faida ya magoli.

Kumtegemea jirani ni vigumu sana, umemkost Tunisia na Sasa Germany.

Kuna mwamba Twitter ilipofika dk ya 85 na ikaonekana hakuna uwezekano wa Spain kudroo, akasema bora Germany wajifunge goli 3 ili watoke pamoja na Spain[emoji3][emoji3]

So far, hili group limetia fora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…