Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

mkuu labda kama ndio game yako ya kwanza kwa spain unaangalia,...
wale ni typical barcelona, hawanaGa plan B........
Japan waliziba njia za kupitisha mpira, spain wakawa hawaoni pa kupita ndio wanaanza kupiga mapasi kuwavuta.....

Japan walimiliki nafasi spain wao walimiliki mpira kitu ambacho akina faida yoyote.
Spain wamepiga pasi 1025, japan wao pasi 245.hapo ukigawanya pasi za japan zinaingia karibia mara tano

Japan walikaa kwenye nafasi tu Spain wanapiga pasi zao huko wanakuwa wanapoteza muda wao wenyewe tu.
 
wakati costarica anaongoza 2-1 na japan anaongoza 2-1 ilikuaje?
tuacheni utani, japan wameshinda kihalali, spain alizidiwa kabisa na so far akikutana na watabe atatolewa

Hilo liko wazi anaejua mpira hilo linaonekana kabisa japan walimiliki nafasi tu Spain kupiga pasi kwao walikuwa kama wanapoteza muda wao wenyewe maana hakukuwa na Cha maana pale.
 
Kama unaamini Japan kumfunga German ilikuwa sahihi kutokana na ubora wa Japan ila same Japan kumfunga Spain ni match fixing wakati hawa wote waliofungwa na Japan walikutana wakatoa droo basi mnatuletea uchambuzi wa ndondo kwenye wc. Hamko mahala sahihi
 
Watu wanaodhan Spain kapata unafuu hawajawaona Morocco.. Spain iyo game anaweza omba abadilishiwe apewe ya Croatia sik iyo.
 
Yan kiherehere cha Germany ndo kimewaponza wao wangejua wenzao walikua hawasumbuki kbs na wao wangekufa nao ili wote waingie kwny headlines kua wametoka Pa1 na Belgium.
 
Kuna uwezekano Fainali ya 1998 kati ya France vs Brazil ikajirudia, lakini awamu hii Brazil hii hii akainua kombe juu.
Na wao wajue sio rahis m1 hapo anaweza shangazwa akajikuta yuko nymbn anakula viazi na wajukuu.

Mpr wa karne izi team ndg hazioni tabu kukatia ticket hata ya bus la Ngorika urud tu nymbn.
 
Ghana katk kosa watalifanya kwend na Mentality ya Draw watatoka.. Wacheze kutafuta ushindi draw sio ki2 cha kutafuta sik zote utafungwa ubak unalia kama mbwa mwitu.
Pia, Favouritism ikitokea itaiua Ghana, kitu ambacho ni kibaya kwenye soccer. Hii Mechi itachezeshwa na Muamuzi kutoka ulaya, mostly Mjerumani au Mfaransa....ila unaweza ukaona wakiipendelea Uruguay
 
Na wao wajue sio rahis m1 hapo anaweza shangazwa akajikuta yuko nymbn anakula viazi na wajukuu.

Mpr wa karne izi team ndg hazioni tabu kukatia ticket hata ya bus la Ngorika urud tu nymbn.
Ni kweli ila kwa hapa historia nayo inaanza kuchukua nafasi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…