Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Mikakati madhubuti, Kwani Kuna Maisha Baada ya Kumbe La DuniaWenyeji Qatar wamepiga marufuku mambo kadhaa yafuatayo yasifanyike hadharani kwani ni kinyume na tamaduni zao;
Unywaji wa pombe hadharani
Mapenzi ya jinsia moja
Kupigana mabusu hadharani
Kombe la Dunia Qatar sheria lukuki zinazidi kumiminika, FIFA wayakanyaga
Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia, na mbaya zaidi hizo sheria zinawawekea vikwazo hadi wadhamini wakuu na washirika wa karibu wa FIFA...www.jamiiforums.com