Komredi hao brazil wako wanaenda kucheza na Korea... ngoja uone watakavyochakatwa mpaka utashangaa... kama una pressure usitazame mechi na achana na hao brazil utaanguka bure ndugu 😃😃😃Tusubiri tuone
Ngoja tuone Simba asiefugika atapita leo, 😆Brazil akisoma upepo ya nini kubania Africa😀😀😀😀😀
M Serbia akakaza kula na Mswis..kuna maajabu mengine tutashudia makubwa mno
🤣🤣🤣🤣🤣Usikute Ghana amemuogopa brazil, akaona mh wasije pata aibu ya karne.
hahahahahaSuarez analia km ghana walivyolia africa kusini
Karma is really [emoji16]
Komredi hao brazil wako wanaenda kucheza na Korea... ngoja uone watakavyochakatwa mpaka utashangaa... kama una pressure usitazame mechi na achana na hao brazil utaanguka bure ndugu 😃😃😃
Wazungu wanataka mjishughulishe... achaneni na uvivu wa fikra kutegemea pesa rahisi kwa kubashiri eti kati ya huyu na yule nani atapigwa wakipigana?! Alafu uweke kiasi kidogo cha pesa baadae utunikiwe mapesa isiyo na jasho😂Miaka mitano ijayo kamari itaharibu kabisa football
Hahahaha. Mimi hata kama ningekuwa nabeti siwezi kubeti in favor na timu za Afrika hata kama watacheza na India au Oman😀Kwahiyo Uruguay wamewahonga Ghana?
Mkuu ume lost bet ama nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri saa 4 mkuu badoBrazil ndo team pekee itakayomaliza kwenye msimamo wa kundi kwa Alama zote 9 Bila kuruhusu goal
Sent using Jamii Forums mobile app
Kushinda anaweza; Brazil hana cha kupoteza; tatizo anategemea Hisani ya SerbiaCameroon leo mmmh ngoja tuone km Brazil atakufa
Brazil kikosi gani ?Brazil ndo team pekee itakayomaliza kwenye msimamo wa kundi kwa Alama zote 9 Bila kuruhusu goal
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] Dah Kwmb wasikae mbl na wala wasiharb hela kuchukua ndege tofaut wao wakae tu stand by airport waende na ndege moja asbh.Nawashauri Ghana wawasubiri ndugu zao Cameroon Airport muda c mrefu wataungana
Sent using Jamii Forums mobile app
Asia imepeleka timu 3
Wanamsafishia njia Brazil hao
Na hii ndio spirit ya Asian tigers wote. Wale hata wakifeli darasani au matriculation exam ya chuo wanachokipenda si jambo la ajabu kujiua.Korea kinacho wasaidia wanajituma Sana, lakini tactical Brazil atawazidi.