Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wazee hivi mda wa mechi kila siku ni saa ngapi?
Nataka nijue ni vipi nitaweza kubalance ratiba yangu.
 
Tupeane fixture ya mechi zinazofata na muda
 
Ila Qatar ndio hamna kitu, huyo south Africa walau anaongeleka

Hawa majamaa wajikite tu kwenye airlines huko naona wanafanya vizuri sana na Qatar airways
Sasa south anaongeleka vipi wakati ndio timu ya Kwanza kuandaa WC na kutoka hatua ya makundi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…