Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kikosi hiki wamedhamiria kuua au?! 🥺😢😳
 
Hivi tanzania mbona tumeachwa mbali sana na hizi timu za wa africa wenzetu walioshiriki world cup ??

Sijui kama tumejifunza kitu
Mbali na kutuacha kisoka wametuacha mambo tele! Kanuni ni kwamba aliyekuzidi vikubwa hata kidogo atakuzidi tu... tusishangae timu za west Africa kucheza michuano mikubwa miaka yote, wale picha linaanza hata GDP zao na zetu wapenda majungu huku ziko tofauti... hayo ni maswala ya kiuchumi tu, wametuzidi hata tukienda kisoka obviously watakuwa juu kutuzidi sisi.

Hata utapeli na kadhalika😂😂😂... sisi tunawazidi umbea tu na majungu + chuki binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…