Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Haha..!
Bora yako wewe, me nimewafahamu Brazil WC ya 2006 nikiwa primary tunarundikana tu sebuleni kuwashangaa enzi ya kina Kaka, Dida, Ronaldo, Ronaldinho etc...!!

Fainali yake Zidane akapiga mtu kichwa..!! 😂😂
Basi hatuchekani sana hahah labda nimekupita fainali moja na mm nikiwa shule ya msingi..ila Depal itakua kaanza fainali ya 2014 au 2018...ngoja anisikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…