vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Eder anatafuta namba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aisee hahahhaa basi tunasifia humu tuu live unaanzaje sasaMvumilie tu sisi wabinafsi [emoji16]
Kweli Brazil wameidharau Cameroun,ndo nini kuwawekea huyu Babu?Mkongwe Dani AlvesView attachment 2433876
Ni kweli si kama ndugu zetu wasenegalHawa wacameroon baadhi ni ma halfcast nini? Hawana rangi zetu za kiwi
Hivi siku ile Cristiano ali mind nini kajamaa ka Ghana kushangilia kama yeye wakati hata yeye ile staili aliiga kwa Raul
Basi hatuchekani sana hahah labda nimekupita fainali moja na mm nikiwa shule ya msingi..ila Depal itakua kaanza fainali ya 2014 au 2018...ngoja anisikieHaha..!
Bora yako wewe, me nimewafahamu Brazil WC ya 2006 nikiwa primary tunarundikana tu sebuleni kuwashangaa enzi ya kina Kaka, Dida, Ronaldo, Ronaldinho etc...!!
Fainali yake Zidane akapiga mtu kichwa..!! 😂😂
Kweli ndugu zetu hahahahNi kweli si kama ndugu zetu wasenegal
Tunashindwa kuvaa chupi tutaweza kwenda top 16.
Natania banaWeeeeeee
Hyo VAR inasoma mpk maungo ya watu?
Haijawahi kuongopaHyo VAR inasoma mpk maungo ya watu?
Afadhali maana hao ni binadamu wakidhurika ni huzuniNatania bana
DuuuhHaijawahi kuongopa
Watakuwa wanawangoja Uruguay airport wawasimange kwanza..!!Hovi Ghana saizi watakuwa wanaikaribia nchi gani katika safari yao ya kurejea kwao?
Kabisaa hahahHahaha...
Katoto ka juzi kabisa, katakuwa kameanza shabikia mahenshamu juzi 2018 walaqhi'....!!