Ana bahati huko nyoso hayupo
Hivi wanaamsha siku hyo hyo?.hawapewi hata muda wapumzike waangalie mechi zinavyoenda na kujifunza?Hovi Ghana saizi watakuwa wanaikaribia nchi gani katika safari yao ya kurejea kwao?
Sometimes it's so hard to be an African walaqhi'...!! 😂😂
Nikajua mida hii watakuwa wameshuka kwenda kuchimba dawaWatakuwa wanawangoja Uruguay airport wawasimange kwanza..!!
Haha...Nikajua mida hii watakuwa wameshuka kwenda kuchimba dawa
Inategemea na Mechi hiyo inayoendela ya serbia na swazlandMtangazaji wa TBC anakuambia ushindi wowote ataopata Cameroon atapita
View attachment 2433888
Inategemeana na bajeti yakoHivi wanaamsha siku hyo hyo?.hawapewi hata muda wapumzike waangalie mechi zinavyoenda na kujifunza?
Mwenye first 11 ya hii timu atuwee kikosi hapaswazland
Samahani,Naona kuna mbrazil mmoja hapa anavaa kibania nywele aingie..kila la heri Brazil kila la heri Cameroon mpate kibao hata kimoja
Tukajifunze kuvaa chupi kwanza ndio tuanze kushindana soka na izi ngozi nyeupe, shame on us blacking.
Chupi siku hizi wanavaa wazeeTukajifunze kuvaa chupi kwanza ndio tuanze kushindana soka na izi ngozi nyeupe, shame on us blacking.
Ki goli kimojaSamahani,
Umemaanisha kibao..!?
Magoli mengi ya kufunga 4..View attachment 2433733
Nini kimeifanya Korea Kufuzu?