Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ametoka.
Ila anarejea home kibabe sanaa CAMEROON


BIASHARA NI ASUBUHI..
wahenga walisema, CAMEROON ILIBIDI IIFUNGE SERBIA..
Siyo tu kumfunga serbia, walistahili kusuruhu na serbia Ila hawakupaswa kabisa kufungwa na Switzerland, Cameroon wametolewa kwasababu ya uzembe wa mechi ya kwanza, Ghana wao Ni ile penati ya mchongo mechi ya kwanza. Na hii ndo Mana halisi ya biashara Ni asubuhi
 
Very true..
 
Mungu ibariki uholanzi
Mungu wabariki Australia

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Usijari mkuu kuna walioanza kwa dua kama hizo wakiombea Cameroon, Iran, Qatar, Ecuador, Mexico, Ghana nk

Hao wote washaumaliza mwendo lakini waombaji walivyokuwa hawana urafiki wameshindwa kusimama na hizo timu mpaka sasa.

Wametafuta timu zingine za kuendelea kuziombea

Nawe ni swal la muda tu, huko mbeleni utakuta umeombea timu nyingi sana.
 
Kwa kesho naziombea hizo.
Keshokutwa nitachagua tena za kuziombea
Ila maombi yangu yote ni Kwa Ufaransa.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hivi nch ya Cameroon hainaga vijana? Miaka yote wachezaji wazee
Sio kweli ulichozungumza hapa wastani wa umri wa kikosi cha Cameroon ni miaka 26.3. Cameroon ni timu ya 6 kwa wastani wa umri kati ya 32 ndani ya hili kombe. Wazee ni Iran, Argentina, Mexico na Brazil.

Timu 5 pekee ndizo zenye umri chini ya huo wa Cameroon yaani Ghana-24.7, USA-25.2, Spain-25.6, Ecuador-25.6 na Senegal- 26.3. Waliosalia wote umri wao ulikuwa mkubwa kuliko Cameroon.
 
Cameroon waongo sana. Yule Abuobakar si umri wa Onyango kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…