HahahaaHii ndio kitu muhindi anapenda kuisikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaHii ndio kitu muhindi anapenda kuisikia
Siyo tu kumfunga serbia, walistahili kusuruhu na serbia Ila hawakupaswa kabisa kufungwa na Switzerland, Cameroon wametolewa kwasababu ya uzembe wa mechi ya kwanza, Ghana wao Ni ile penati ya mchongo mechi ya kwanza. Na hii ndo Mana halisi ya biashara Ni asubuhiAmetoka.
Ila anarejea home kibabe sanaa CAMEROON
BIASHARA NI ASUBUHI..
wahenga walisema, CAMEROON ILIBIDI IIFUNGE SERBIA..
Kwakua Simba inacheza kesho, Fifa wamejaribu ku minimize ratiba ili wapate wasaa wa kutazama mechi ya Simba dhidi ya CoastalNaomben ratiba gya mechi za kesho hasa muda
YahAlaa!!
Basi hizo zimekwalifai.. 16 bora.
Niliwaangalia morocco kwa dakika 10 dhidi ya canada.Hakika Jombaa. Spain wanakosa mmaliza kazi mzuri mwisho kule. Mchezo wao na Morocco naiona safari yao ikiishia hapo.
Mungu ibariki uholanziKwakua Simba inacheza kesho, Fifa wamejaribu ku minimize ratiba ili wapate wasaa wa kutazama mechi ya Simba dhidi ya Coastal
Mechi kesho zitakuwa mbili tu
View attachment 2433977
Very true..Siyo tu kumfunga serbia, walistahili kusuruhu na serbia Ila hawakupaswa kabisa kufungwa na Switzerland, Cameroon wametolewa kwasababu ya uzembe wa mechi ya kwanza, Ghana wao Ni ile penati ya mchongo mechi ya kwanza. Na hii ndo Mana halisi ya biashara Ni asubuhi
Mpaka Sasa timu pekee ambazo hazijafungwa world cup ni Morroco na England [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
USAMpaka Sasa timu pekee ambazo hazijafungwa world cup ni Morroco na England 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Usijari mkuu kuna walioanza kwa dua kama hizo wakiombea Cameroon, Iran, Qatar, Ecuador, Mexico, Ghana nk
Kwa kesho naziombea hizo.Usijari mkuu kuna walioanza kwa dua kama hizo wakiombea Cameroon, Iran, Qatar, Ecuador, Mexico, Ghana nk
Hao wote washaumaliza mwendo lakini waombaji walivyokuwa hawana urafiki wameshindwa kusimama na hizo timu mpaka sasa.
Wametafuta timu zingine za kuendelea kuziombea
Nawe ni swal la muda tu, huko mbeleni utakuta umeombea timu nyingi sana.
Furaha tu ilizidi...Kulikua na haja gani ya abubakar kuvua shati kweli manyani haya
Usa akipiga ule mpira wa dhida ya england holland kazi anayo
Sio kweli ulichozungumza hapa wastani wa umri wa kikosi cha Cameroon ni miaka 26.3. Cameroon ni timu ya 6 kwa wastani wa umri kati ya 32 ndani ya hili kombe. Wazee ni Iran, Argentina, Mexico na Brazil.Hivi nch ya Cameroon hainaga vijana? Miaka yote wachezaji wazee
Si kwasababu unaipenda Uholanzi ila ni kwasababu humkubali MessiKwa kesho naziombea hizo.
Keshokutwa nitachagua tena za kuziombea
Ila maombi yangu yote ni Kwa Ufaransa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Watoto wa Biden walidharaulika mwanzoni lakini wapinzani walipomuona England kapaki Utong wameanza kupata wengeKesho mapema Timu USA
Cameroon waongo sana. Yule Abuobakar si umri wa Onyango kabisa?Sio kweli ulichozungumza hapa wastani wa umri wa kikosi cha Cameroon ni miaka 26.3. Cameroon ni timu ya 6 kwa wastani wa umri kati ya 32 ndani ya hili kombe.
Timu 5 pekee ndizo zenye umri chini ya huo wa Cameroon yaani Ghana-24.7, USA-25.2, Spain-25.6, Ecuador-25.6 na Senegal- 26.3. Waliosalia wote umri wao ulikuwa mkubwa kuliko Cameroon.