Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #15,061
HawatotuwezaaaaNajua maadui ni wengi wanaotuombea njaa.
Lakini nachoweza kusema ni kua..
Vamooooooooooooos SELECCIÓN [emoji1033][emoji41]
#MATCHDAY [emoji92][emoji93]View attachment 2434446
Uwezekano ni mkubwa kwa yeye kutupia hasa ukiwaikiria USA wanavyokuwa sloppy kukaba kwenye kipindi cha piliJe Gakpo atatupia tena leo?? Ni jambo la kusubiri
Uwe na adabu basi kijana mtaani kwenu ndyo useme Messi boraWachezaji wanaoutendea haki mpira wawapo uwanjani hasa kwenye msimu huu wakombe la dunia
G.O .A.T messi
Wote tunajua kuwa uyu toka dunia iumbwe hiki ni kipaji pekee ambacho tumekosa wa kumlinganisha naye
Wataalamu wa soka wanasema yeye ni 1,2,3
Joshua kimmich
uyu kijana anautulivu anapiga pasi za uhakika anakaba nk
Achraf hakim
Dogo anaujua sana toka yupo Dortmund
Thiago silva
Huyu kijana anazeeka na ufundi wake mguuni
Cody gakpo
Talented sijamfatilia sana kwenye klabu yake ila anajua
Mohamed kudus
Brilliant
Casemiro
Always perfect
Others
Akanji
Alvarez
Mbape
Fernandez
Kwaupande wangu hawa ndio waliofanya vizuri mpaka sasa nitaendelea kuongezea
Argentina mwisho wake ni hapo badae saa mbiliTimu zenye majina makubwa zilizoshindwa kufaulu kucheza fainali za kombe la duinia Qatar 2022
UEFA
AFCON
- Italy ambao ndio mabingwa wa UEFA
CONMEBOL
- Nigeria
- Misri
Timu zenye majina makubwa zilizoshindwa kwenye hatua ya makundi
- Colombia
Je unadhani ni timu ipi yenye jina kubwa itafeli kwenye 16 bora? Hasa zile zinazocheza na Underdogs
- German
- Belgium
Hakika mabaya wanayotuombea yatazikuta team zao wataenda nymbn wao[emoji1488]Hawatotuwezaaaa
Vamooooooos
The 46 year-old was missing from his media duties on Saturday, the day before the fixture against England in Al Khor, having also been unable to take training on Friday.
"He has been sick for a couple of days now," said assistant coach Regis Bogaert, who replaced Cisse at the press conference.
Me nimeiomba naona wadau wanaruka rukaMwenye ratiba ya mechi za world cup tbc1 plz
Nedherland inawezekana hajakutana na mpinzani mgumu sana. Pamoja na ivyo bado hainipi mashaka naye, nawakubali USA ila kwa leo sioniwakichomoka kwa mholanziYaweza kuwa hivyo ila tusi_mpuuze USA anaweza kumpa game ya maana NED
Hii mbona hawajaweka masaa