Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wachezaji wanaoutendea haki mpira wawapo uwanjani hasa kwenye msimu huu wakombe la dunia

G.O .A.T messi
Wote tunajua kuwa uyu toka dunia iumbwe hiki ni kipaji pekee ambacho tumekosa wa kumlinganisha naye
Wataalamu wa soka wanasema yeye ni 1,2,3

Joshua kimmich

uyu kijana anautulivu anapiga pasi za uhakika anakaba nk

Achraf hakim

Dogo anaujua sana toka yupo Dortmund

Thiago silva

Huyu kijana anazeeka na ufundi wake mguuni

Cody gakpo

Talented sijamfatilia sana kwenye klabu yake ila anajua

Mohamed kudus
Brilliant

Casemiro
Always perfect

Others
Akanji
Alvarez
Mbape
Fernandez

Kwaupande wangu hawa ndio waliofanya vizuri mpaka sasa nitaendelea kuongezea
 
Uwe na adabu basi kijana mtaani kwenu ndyo useme Messi bora
 
Timu zenye majina makubwa zilizoshindwa kufaulu kucheza fainali za kombe la duinia Qatar 2022

UEFA
  1. Italy ambao ndio mabingwa wa UEFA
AFCON
  1. Nigeria
  2. Misri
CONMEBOL
  1. Colombia
Timu zenye majina makubwa zilizoshindwa kwenye hatua ya makundi
  1. German
  2. Belgium
Je unadhani ni timu ipi yenye jina kubwa itafeli kwenye 16 bora? Hasa zile zinazocheza na Underdogs
 
1670075393394.png
 
Argentina mwisho wake ni hapo badae saa mbili
 
Kocha wa Senegal Mgonjwa na huenda akakosa game la Kesho...., Ila ninavyojua Wa-Afrika huenda yupo kwa waganga anawafanyizia England....

The 46 year-old was missing from his media duties on Saturday, the day before the fixture against England in Al Khor, having also been unable to take training on Friday.

"He has been sick for a couple of days now," said assistant coach Regis Bogaert, who replaced Cisse at the press conference.

1670077992807.png
 
Back
Top Bottom