BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Amepiga chenga za maudhi 😂😂😂Messi anajua jamani tuache unafiki
Mbongo utamuambia nini mkuuSasa hiyo ni Denial.
Na ni ugonjwa.
Hawa wazee wa mbugi mtonyo wanafurahisha balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tbc Wana maneno
Vikombe inashinda timu sio mchezaji.
Kwani kwa sasa ni Mzee ?
Washenzi sana [emoji2096]..[emoji23][emoji23][emoji23]
Uholanzi Wana timu mbovu hamtaamini😅😅😅😅😅Tukutane Tarehe Tisa saa Nne kamili usiku
NETHERLAND VS ARGENTINA
Probably ndo utakua mwisho wa Argentina
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, kesho itakuwa njema kwa timu zakoTimu nilizoshabikia leo zote zimeniangusha kasoro Simba tu
Hivi Brazil atacheza na nani?Tukutane Tarehe Tisa saa Nne kamili usiku
NETHERLAND VS ARGENTINA
Probably ndo utakua mwisho wa Argentina
Sent using Jamii Forums mobile app
Abebe hili kombe, tena hata asipofika huko ila wakikutana na timu mbili kati ya Brazil au France halafu akapita basi mi ntaanza kumkubaliSasa mtu afanyeje sasa ili umkubali wewe mshabiki wa mpira? Maana Messi kashafanya kila kitu.
..😂😂😂.. tatizo ni Messi kufunga ? au Australia kufungwa?Washenzi sana [emoji2096]
Bora hata nafasi yao hii tungewapa Ihefu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tatizo ni ukubwa jinga wao..[emoji23][emoji23][emoji23].. tatizo ni Messi kufunga ? au Australia kufungwa?
Najua duniani huwezi kukubaliwa na kila mtu hata uwe mzuri vipi, ila lazima utakubaliwa na wale wanaouona huo uzuri wako.Mbona unatulazimisha kumshabikia?
Kwani lazima??
Duniani huwezi kukubaliwa na kila mtu,hata uwe mzuri vipi.
Siyo lazima wote tuwe mashabiki wake.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ni ufundi tu, kumbuka wachezaji wafuatao...wa kwanza ni Dimitri Berbatov alikuwa wa Man United, then Maradona then Xavi Kocha wa BarcaMimi hua najiuliza hivi wachezaji wa Argentina wanagundi miguuni au ni vipi. Maana pasi zao hua znanata miguuni yaani