Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Timu zilizoingia kiujanja ujanja na machozi 16 Bora zitapigika tu ,hakuna huruma wala bahati world cup ...

Japan

Korea

Hawa wote ni kipigoo cha mbwa koko
 
Embu imagine Poland anaenda kufanya nini R16
Kuna jamaa mmoja nilimwambia Mpira sio Rank tu, ila hata historia na Experience zinabeba timu. Akawa mbishi sana

Leo Nerthelands imemshinda USA, sio kwamba USA ni wabaya Hapana, ila pia ukubwa, uzoefu na performance zinazibeba timu kubwa, wachezaji wanacheza kwa kujiamini

Huwezi fananisha Poland au Serbia na kina Argentina au France kwenye Robo au Nusu fainali ya World Cup
 
Mungu ibariki ENGLAND
MUNGU mbariki Trent 🔥🔥🔥🔥🔥

Usinambie habari za uzalendo
Uzalendo wangu ni Kwa chama langu Liver🔥🔥
 
Hizi mechi za timu yenye supa star inategemea form ya huyo supa star. Messi fomu yake ikiwa nzuri Argentina atashinda. Fomu yake ikiwa mbovu Argentina atalala vizuri tu
Leo Messi amekuwa kwenye good form na katika michezo yote ya WC 2022 hii mechi ya leo kalitendea haki Jina lake ila waliomzunguka wengi ni mabomu. Ota Mendy hafai kuwa beki ndio maana PEP alimtosa 2020
 
Mbona naye alipata nafasi kama tatu, mbili alitungua minazi na moja alimlenga kipa

Au yeye jambo hilo likitokea linakuwa linalezeka ila kwa wengine ni uzembe?
Nafasi za Messi zilikuwa clear chance? Hivi Messi abakie na kipa kama vile akuache?
Angalia goli la kwanza alilo funga kazungukwa na watu wangapi?

Messi leo alikuwa anatembea na watu wanne, sasa kwa msambuliaji hii ni advantage, kwako mda mwingi unabaki mwenyewe na kuwa na space ya kufunga,ndio maana Martinez chance zote alizo zipata alikuwa mwenyewe.

Mwanzo nilikuwa na jiuliza kwanini Martinez anaanzia benchi ila majibu nimeyapata bora tu aanze Alvarez.
 
Yanashangilia kupita vichochoroni.
Ndio janjanjanja zimeishia hapo,rukeni ka mwisho.

Wakipita tena naanza kunywa bia .
Sema tu una hamu ya kamnyweso acha kutengeneza vijisababu, mwisho wa siku uje useme Argentina walikupitia sijui muda huo shetani atakuwa nafanya nn
 
Leo Messi amekuwa kwenye good form na katika michezo yote ya WC 2022 hii mechi ya leo kalitendea haki Jina lake ila waliomzunguka wengi ni mabomu. Ota Mendy hafai kuwa beki ndio maana PEP alimtosa 2020
Na ni mabomu kwel kwel

Fainal ya 2014 higuain na yule kinywele kimoja walizingua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…