Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nyani haoni kunduleMbona naye alipata nafasi kama tatu, mbili alitungua minazi na moja alimlenga kipa
Au yeye jambo hilo likitokea linakuwa linalezeka ila kwa wengine ni uzembe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyani haoni kunduleMbona naye alipata nafasi kama tatu, mbili alitungua minazi na moja alimlenga kipa
Au yeye jambo hilo likitokea linakuwa linalezeka ila kwa wengine ni uzembe?
Hata Jana mlisema tutawakataaUholanzi mtawakataa siku hiyo wacha twende😀😀😀😀😀
Kama Ronaldo anavyohangaika au sio?
Mlete mleteeAtakunya siku hiyo dimaria atakuwepo
Kuna jamaa mmoja nilimwambia Mpira sio Rank tu, ila hata historia na Experience zinabeba timu. Akawa mbishi sanaEmbu imagine Poland anaenda kufanya nini R16
Leo Messi amekuwa kwenye good form na katika michezo yote ya WC 2022 hii mechi ya leo kalitendea haki Jina lake ila waliomzunguka wengi ni mabomu. Ota Mendy hafai kuwa beki ndio maana PEP alimtosa 2020Hizi mechi za timu yenye supa star inategemea form ya huyo supa star. Messi fomu yake ikiwa nzuri Argentina atashinda. Fomu yake ikiwa mbovu Argentina atalala vizuri tu
Kwa Mholanzi, Mfaransa au Brazil hutamwona akicheza hivi, ujue hiloIla Messi ni konyoooo
Nafasi za Messi zilikuwa clear chance? Hivi Messi abakie na kipa kama vile akuache?Mbona naye alipata nafasi kama tatu, mbili alitungua minazi na moja alimlenga kipa
Au yeye jambo hilo likitokea linakuwa linalezeka ila kwa wengine ni uzembe?
Alivyopiga ikawaje?Bora Messi apige mwenyewe.
Sema tu una hamu ya kamnyweso acha kutengeneza vijisababu, mwisho wa siku uje useme Argentina walikupitia sijui muda huo shetani atakuwa nafanya nnYanashangilia kupita vichochoroni.
Ndio janjanjanja zimeishia hapo,rukeni ka mwisho.
Wakipita tena naanza kunywa bia .
Awe mbona mtakuwa mna masihara na kombeTeam Argentina...toka Mwanzo wa post hii...mpaka kubeba ndio.
Kwa Messi kila akipiga unataka lile goli? Sasa kama unamtengenezea nafasi mbili clear mshambuliaji unataka Messi afanye nini?Alivyopiga ikawaje?
Sema mwenyewe nahe tumuite Kibu?
Na ni mabomu kwel kwelLeo Messi amekuwa kwenye good form na katika michezo yote ya WC 2022 hii mechi ya leo kalitendea haki Jina lake ila waliomzunguka wengi ni mabomu. Ota Mendy hafai kuwa beki ndio maana PEP alimtosa 2020
Hili kombe asipochukua Messi Bora wachukue wakina Neymar au ulaya angalau mbape sio hawa wazungu pori mashoga 😅😅😅😅Kama Mbappe anavyohangaika kutafuta goli [emoji23]