BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Neymar alipaswa kumiss game 2 tu nadhani zinazofata atachezaFrance wapo hovyo, Brazil nao naona kama kukosekana kwa Neymar kume waathiri sana.
Mimi Morocco na itizama lwa jicho jingine kabisa japo hapewi nafasi lakini wale watoto wanaupiga mwingi.
Nimesiki kuna uwezekano akakosa mechi zote zilizobaki. Bora wangeenda Roberto Firmino yule jamaa na uwezo mkuwa wa kucheza namba 10.Neymar alipaswa kumiss game 2 tu nadhani zinazofata atacheza
Sijawahi kunywa pombeSema tu una hamu ya kamnyweso acha kutengeneza vijisababu, mwisho wa siku uje useme Argentina walikupitia sijui muda huo shetani atakuwa nafanya nn
Kumbe Messi anaelezeka eeh?Nafasi za Messi zilikuwa clear chance? Hivi Messi abakie na kipa kama vile akuache?
Angalia goli la kwa alilo funga kazungukwa na watu wangapi?
Messi leo alikuwa anatembea na watu wanne, sasa kwa msambuliaji hii ni advantage, kwako mda mwingi unabaki mwenyewe na kuwa na space ya kufunga,ndio maana Martinez chance zote alizo zipata alikuwa mwenyewe.
Mwanzo nilikuwa na jiuliza kwanini Martinez anaanzia benchi ila majibu nimeyapata bora tu aanze Martinez.
Kesho nani na nani?
Mkoloni na senegalKesho nani na nani?
Argentina [emoji1033] hatutamsahau Higuain wa final ya world Cup ya mwaka 2014 hata jana nimemuota kwa alichotufanyia siku ya game na yeye mwenyewe hatasahau hyo game sijui sijui nini kilimpata hadi akatunyima [emoji1628] gold medal ila pia inawezekana Di Maria angecheza tungenyanyua makwapaNa ni mabomu kwel kwel
Fainal ya 2014 higuain na yule kinywele kimoja walizingua sana
Kesho naamini mmoja wao kati ya England au France anarejea nyumbani
Ronaldo hana hata akili ya SuarezMess anatumia akili , Ronaldo anatumia nguvu nyingi .....
Na wakirejea njia itakuwa nyeupe kwa ArgentinaKesho naamini mmoja wao kati ya England au France anarejea nyumbani
Martinez aliteleza wapi sijaona kuteleza? Chance alizo pata Martinez alikuwa na 95% kufunga.Kumbe Messi anaelezeka eeh?
Ngona nami nimeulezee Martinez
Alipata mpira akashuti hakuwa na utulivu ukapaa kama ambavyo alivyopaza Messi kwe ye attempt yake ya mwanzo kabla hajapata bao
Si umeona kumbe ishu ni kukosekana tu kwa maelezo mazuri ila Martinez aliteleza kama ilivyo kwa Messi
England [emoji1022] aandae mabegi na ndege kabisaKesho naamini mmoja wao kati ya England au France anarejea nyumbani
MUNGU mbariki bingwa 2022 France 🔥🔥🔥🔥
Watanzania bwana waache hawa watu wapo vizuri sana mdomoni...this is nearly insane...kama kazi ni kupasia nyavu and nothing special at all, mbona wachezaji wote hawapasii nyavuni mambo yaishe?? Mbona sie Tanzania hatupasia nyavuni tufuzu twende WC??Sometimes naonaga Messi haangaiki uwanjani yaani anatembea anajua punda ziko zinafanya kazi kwaajiri yake zinamsogezea ye anapasia nyavu,, Nothing special at all
Basi jiandae muda umefika wa kulewa na marafiki, siku utakazokuwa unakuja kulewea bar za Tabata usisite kunistua hiyo ndo itakuwa maana halisi ya furahaSijawahi kunywa pombe
Wakipita nakuwa mlevi chakari