Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

France wapo hovyo, Brazil nao naona kama kukosekana kwa Neymar kume waathiri sana.

Mimi Morocco na itizama lwa jicho jingine kabisa japo hapewi nafasi lakini wale watoto wanaupiga mwingi.
Mimi pia
 
USA wanacheza kwa kutumia notes za mwalinu. Wadutch wanatumia experience
 
Martinez aliteleza wapi sijaona kuteleza? Chance alizo pata Martinez alikuwa na 95% kufunga.

Messi leo sehemu zote alikuwa anatembea na watu wanne hata hayo mashuti kulikwa hamna clear line of sight, labda kama unataka kubishana.
Kuteleza niliyoiandika hapo sio ile ya "sliding" nimemaanisha kuteleza ile ya "kukosea"
 
Nilkuwa nimeweka unazi mbele kwenye mechi hii ya Argentina.

Narudi sasa kwenye uhalisia. Game ya Uholanzi na Argentina ili Messi na wenzake waweze kwenda nusu watahitaji kurekebisha kwanza madhaifu makubwa ya ukuta wao, Otamendi muda umempita wapewe nafasi wengineo.
 
Kuteleza niliyoiandika hapo sio ile ya "sliding" nimemaanisha kuteleza ile ya "kukosea"
Hatukatai kukosea ,je unakosea ktk mazingira gani,wewe na kipa hamna kusema labda kuna beki aliye block your line of site, basi ktk clear chance mbili pata moja,chance mbili zote unakosa.

Ila si shangai may kila mtu ana definition yake ya kukosea, ila kwa mimi Martinez kazingua.
 
Mzee
Broh, acha kutetea upuuzi yule striker wako mechi ijayo anaanzia benchi na atalikalia dakika zote 90, Mana analeta masihara pale tunapokuwa seriously. Mechi zijazo mbao ndefu ndiyo zitakuwa makazi yake.
 

Hata benchi hastahili kukaa mkuu, sidhani kama anadeserve hata kuwepo kwa kikosi.
Álvarez anastahili kucheza mda wote labda aumie tena mahututi[emoji16]
 
England hawezi tolewa na timu za Africa ,mbona mnakaza fuvu .....

Hii ni timu pendwa duniani ,iwe mvua au jua ,goli la mkono au la kisigino lazima Senegal aondoke ...
Nilivyo tizama mechi yao na USA ndipo nikajua kwamba wa kawaida,pili kocha wao hajiamini anasikiliza maneno ya nje ya magazeti na kelele za mashabiki,kwenye kupanga kikosi chake.
 
Di maria anq nyota na argentina, gem nying akiwepo wanashindaga.
 
Mzee

Broh, acha kutetea upuuzi yule striker wako mechi ijayo anaanzia benchi na atalikalia dakika zote 90, Mana analeta masihara pale tunapokuwa seriously. Mechi zijazo mbao ndefu ndiyo zitakuwa makazi yake.
Muache akae benchi mi pia sifagilii nidhamu yake, ila akiwa uwanjani nataka kumuona akijituma

Messi leo kakutana na kibonde, magoli yote mawili ni uzembe wa kipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…