Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nilivyo tizama mechi yao na USA ndipo nikajua kwamba wa kawaida,pili kocha wao hajiamini anasikiliza maneno ya nje ya magazeti na kelele za mashabiki,kwenye kupanga kikosi chake.
Kuwa kocha wa England ni stress tupu...timu pendwa ya wanahabari na wachambuzi..

Senegal ana kibarua kigumu Sana.
 
Kwa jinsi nilivyo waona Argentina jana eti ndio wanaenda kukutana na Nedherland Quarter Finals. Asee Messi shughuli yake inaenda kuishia hapo

Sijui watu wanaona Argentina wana makubwa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Netherlands wana kipi cha ajabu kuliko Argentina? Hivi Argentina mnawachuliaje mazee! Ecuador tu aliwapa game tough hao wadachi,hata jana walipigiwa mpira mkubwa tu USA licha ya kushinda.Hata huyo netherlands akifungwa bado mtaomba akutane na mwingine na mpaka final hivyo.
 
Plz plz plz mashabiki wa Netherlands [emoji1179] mjitokeze tuwahesabu leo ni Saturday na game yetu ni Friday hatutaki visingizio jitokezeni tuwajue
Mpaka nawaonea huruma nyie mnaojiita mashabiki wa Argentina. Hivi kwa ukubea gani hasa unajiaminisha unaweza kuchomoka kwa Nedherland wewe, kwa mpira gani hasa?

Mtalia na kusaga meno hiyo siku yan timu icheze kwa kumzunguka mtu mmoja ufananishe na timu inayocheza total football?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu zilizobaki kombe la dunia ukiondoa Argentina, Brazil na France nyingi ni mbovu tuendelee kuwepo!![emoji28][emoji28]
Jamani hivi huyo Argentina ana ubora gani mnauona kiasi kumuweka hata level moja na France? Huyo Argentina hata Morroco tu anamtoa kamasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jinsi nilivyo waona Argentina jana eti ndio wanaenda kukutana na Nedherland Quarter Finals. Asee Messi shughuli yake inaenda kuishia hapo

Sijui watu wanaona Argentina wana makubwa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwashtue waache si wanaona Argentina anabeba kombe ipo siku hapa watakimbiana atatoka kwa aibu nakwambia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Netherlands ana mpira gani kumzidi Argentina? Ukiacha kushinda jana Netherlands amecheza nini?
 
Haya nasubiria kusikia "Pamoja Argentina kashinda lakini hawatafika mbali"
Nahamishia nguvu zangu zote kuisapoti Uholanzi ningekuwa mchawi hata kwa mganga ningeenda kuiroga Argentina isitoboe,ngoja tuone next match hivi unamjua Gapko wewe ?bado De jong dimba la Kati akisambaza upendo hata mtu uwe juu ya muembe pasi inakufikia..
 
Dejong atawatesa mno viungo wenu wasio wabunifu kuna depaul
Hivi ukiacha De jong wana kiungo gani mwingine ana maajabu pale! Argentina ina the likes of enzo fernandez,Paredes,Mac allister,De paul( the beast) na bado kuna Messi ambae anacheza kama attacking midfielder(playemaker).Ngoja nikwambie the only weakness ya Argentina team ni fullbacks zake kushambulia ila sio kwenye midfields.Mfano wao wana mtu kama Dumfries ni beki mzuri kushambulia,na ndo strength yao ilipo.Ila kwa midifieds hell no hawatoweza battle.
 

Alibadili mfumo ukawa wa mabeki watatu wale mafull beki wakawa mawinger... mbona ilikuwa waz kabisaaa.. mbele wakabaki wawili julian na LEO10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…