vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Iran hana ubavu kabisa wa kumpiga mkoloni.
hawa jamaa wanataka kufanya kila wanachotaka, FIFA ilishakataa hizo bandeji zajo lakini jamaa wamegoma kazi kweli kweli
Timu za Africa tu huwa zina under perform ila Senegal sio timu ya kawaida.Hata Mane angekuwepo Senegal ni wa kawaida sana. Hata makundi hawatoboi.
Si ulimuona Queiroz mataifa Africa na Egpty, anapaki basi hatari, hii mechi imeandikwa 0-0 ama 1-0 sio mechi ya magoli mengi.Mkoloni anafungika vizuri tu
Iran wakitaka kupata matokeo awe compact nyuma na katikati
Mkoloni hana wachezaji wa kufungua timu unayosimulia basi
Hutegemea zaidi kona na dead balls kwenye timu za aina hii
Mkoloni ana bifu kali na fifa hizo ni choko choko tu
Si ulimuona Queiroz mataifa Africa na Egpty, anapaki basi hatari, hii mechi imeandikwa 0-0 ama 1-0 sio mechi ya magoli mengi.
Timu za Afrika zikishaanza kugombania pesa ndo basi tena
Cameroon angekuwa kundi zuri angetoboa ila kundi alilopo ni la wa dedlyCameron inautulivu kwa sababu ya etoo yupo km kiongozi
Ila bahati mbaya kwao wanakikosi cha kawaida na wapo kundi gumu
Etoo anakwambia fainali ya World cup mwaka huu ni cameroon na Morocco.Cameron inautulivu kwa sababu ya etoo yupo km kiongozi
Ila bahati mbaya kwao wanakikosi cha kawaida na wapo kundi gumu
Wacha tusubiriTimu za Africa tu huwa zina under perform ila Senegal sio timu ya kawaida.
Bila Mane wana Ismaila Sarr, Eduardo Mendy, Koulibaly, Idrissa Gueye, Kouyate wote wamecheza Epl hawa.
Bado wachezaji wengine ligi za Ulaya, kikosi chao kina mastar wa kutosha.
Senegal ni wakawaida usitishike na ubingwa wa Africon Ata Zambia alibeba ingekua ni ivo Ivory coast angekua alishachukua kabisa kombe la Dunia Kuna kipindi walikua na drogba,kole toure,Yaya toure,kalou,dider zokora ila waliishia kufika wapi mzee mpira hazichez jeziTimu za Africa tu huwa zina under perform ila Senegal sio timu ya kawaida.
Bila Mane wana Ismaila Sarr, Eduardo Mendy, Koulibaly, Idrissa Gueye, Kouyate wote wamecheza Epl hawa.
Bado wachezaji wengine ligi za Ulaya, kikosi chao kina mastar wa kutosha.
Nimesikia pombe hairuhusiwi, vp bange?Etoo anakwambia fainali ya World cup mwaka huu ni cameroon na Morocco.
Kaka kwaiyo Zambia unailinganisha sengalSenegal ni wakawaida usitishike na ubingwa wa Africon Ata Zambia alibeba ingekua ni ivo Ivory coast angekua alishachukua kabisa kombe la Dunia Kuna kipindi walikua na drogba,kole toure,Yaya toure,kalou,dider zokora ila waliishia kufika wapi mzee mpira hazichez jezi
Etoo anakwambia fainali ya World cup mwaka huu ni cameroon na Morocco.
Senegal ni wakawaida usitishike na ubingwa wa Africon Ata Zambia alibeba ingekua ni ivo Ivory coast angekua alishachukua kabisa kombe la Dunia Kuna kipindi walikua na drogba,kole toure,Yaya toure,kalou,dider zokora ila waliishia kufika wapi mzee mpira hazichez jezi
Yes, mechi ya leo ni ngumu kwao. Uholanz wapo vzrMechi ya leo ni ngumu saana kwa Senegal labda droo, otherwise anafungwa
Eeeh wapambane haswa, uholanz sio timu ya kubeza kbs.Yan Senegal washinde dhidi ya uholanzi duh wapambane kwelikweli