Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hata Mane angekuwepo Senegal ni wa kawaida sana. Hata makundi hawatoboi.
Timu za Africa tu huwa zina under perform ila Senegal sio timu ya kawaida.

Bila Mane wana Ismaila Sarr, Eduardo Mendy, Koulibaly, Idrissa Gueye, Kouyate wote wamecheza Epl hawa.

Bado wachezaji wengine ligi za Ulaya, kikosi chao kina mastar wa kutosha.
 
Mkoloni anafungika vizuri tu

Iran wakitaka kupata matokeo awe compact nyuma na katikati

Mkoloni hana wachezaji wa kufungua timu unayosimulia basi

Hutegemea zaidi kona na dead balls kwenye timu za aina hii
Si ulimuona Queiroz mataifa Africa na Egpty, anapaki basi hatari, hii mechi imeandikwa 0-0 ama 1-0 sio mechi ya magoli mengi.
 
Each national soccer federation determines how to divvy up that money, but the U.S. payout is already set by a collective-bargaining agreement — and part of the money will go to the U.S. women’s team, even though they’re not playing in the tournament.

hawa wamerekani nao hawaeleweki
yaani fedha zote wanazopata wanapeleka timu ya wanawake
hawa west ni pasua kichwa
Mkoloni ana bifu kali na fifa hizo ni choko choko tu
 
Timu za Africa tu huwa zina under perform ila Senegal sio timu ya kawaida.

Bila Mane wana Ismaila Sarr, Eduardo Mendy, Koulibaly, Idrissa Gueye, Kouyate wote wamecheza Epl hawa.

Bado wachezaji wengine ligi za Ulaya, kikosi chao kina mastar wa kutosha.
Wacha tusubiri
 
Senegal ni wakawaida usitishike na ubingwa wa Africon Ata Zambia alibeba ingekua ni ivo Ivory coast angekua alishachukua kabisa kombe la Dunia Kuna kipindi walikua na drogba,kole toure,Yaya toure,kalou,dider zokora ila waliishia kufika wapi mzee mpira hazichez jezi
 
Leo depay na Steven bergwjin lazima wapeleke kilikio Kwa waswahili wezao
11_576327308_21_68362397216690261957861023167612.jpg
11_576327308_21_10663013681669026195786-355699669.jpg
11_576327308_21_12413083401669026195786381609062.jpg
 
Senegal ni wakawaida usitishike na ubingwa wa Africon Ata Zambia alibeba ingekua ni ivo Ivory coast angekua alishachukua kabisa kombe la Dunia Kuna kipindi walikua na drogba,kole toure,Yaya toure,kalou,dider zokora ila waliishia kufika wapi mzee mpira hazichez jezi
Kaka kwaiyo Zambia unailinganisha sengal

Bora ungenyamaza ukaficha ujinga

Senegal wana watu kama huamini weka dau Leo hafungwi na uholanzi abadan asilani
 
Uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kwenye timu ina umuhimu wake
Kuna time mechi inakuwa ngumu, mwalimu anatulia inabaki brilliance ya mchezaji mmoja mmoja

Hii imewasadia sana timu kubwa km Argentina brazil,frace, germany, italy na zingine

Back
Top Bottom